sw_tn/pro/10/16.md

12 lines
337 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mshahara..faida
Haya ni matokea ya kuteda mema au uovu
# Kuna njia ya kwenda kwenye uzima kwa yule ambaye hufuata maonyo
"Mtu ambaye hutii mafundisho ya busara atakuwa mwenye furaha na maisha marefu"
# lakini yule ambaye hukataa kurudiwa huelekea kupotea
"lakini yule ambaye hatii mafundisho ya busara hatakuwa na maisha mazuri"