# mshahara..faida Haya ni matokea ya kuteda mema au uovu # Kuna njia ya kwenda kwenye uzima kwa yule ambaye hufuata maonyo "Mtu ambaye hutii mafundisho ya busara atakuwa mwenye furaha na maisha marefu" # lakini yule ambaye hukataa kurudiwa huelekea kupotea "lakini yule ambaye hatii mafundisho ya busara hatakuwa na maisha mazuri"