sw_tn/pro/09/07.md

32 lines
645 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Mistari hii inaendeleza ujumbe wa Hekima
# Mwenye kumwadibisha... wenye kumkemea
Tungo zote mbili zina maana sawa.
# mwenye dhihaka
"mtu anayetukana watu wengine" au " mtu ambaye anapenda kuwafanya watu wengine waonekane wabaya"
# hupokea matusi
"hupokea matendo ya kikatili"
# mwenye kumkemea
"mtu yeyote anayemwelekeza"
# usimkosoe
"usimwelekeze"
# mkosoe mtu mwenye busara, na yeye...mfundishe mtu menye haki na yeye
'Kama utamwelimisha mtu mwenye busara, yeye...kama utamfundisha mtu mwenye haki , yeye"
# mkosoe mtu mwenye busara...mfundishe mtu menye haki
Hivi virai viwili kimsingi vinasema jambo moja.