# Maelezo ya Jumla Mistari hii inaendeleza ujumbe wa Hekima # Mwenye kumwadibisha... wenye kumkemea Tungo zote mbili zina maana sawa. # mwenye dhihaka "mtu anayetukana watu wengine" au " mtu ambaye anapenda kuwafanya watu wengine waonekane wabaya" # hupokea matusi "hupokea matendo ya kikatili" # mwenye kumkemea "mtu yeyote anayemwelekeza" # usimkosoe "usimwelekeze" # mkosoe mtu mwenye busara, na yeye...mfundishe mtu menye haki na yeye 'Kama utamwelimisha mtu mwenye busara, yeye...kama utamfundisha mtu mwenye haki , yeye" # mkosoe mtu mwenye busara...mfundishe mtu menye haki Hivi virai viwili kimsingi vinasema jambo moja.