sw_tn/pro/08/06.md

24 lines
400 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wakati midomo yangu inapofunguka
Midomo inamaanisha kinywa cha mtu anayeongea " wakati nipofumbua mdomo wangu kuongea"
# adili
"sawa" au "haki"
# kinywa changu hunena
" mimi ninasema"
# kilicho cha kweli
"kile ambacho watu wanapaswa kuamini"
# uovu ni chukizo katika midomo yangu
"uovu ni chukizo kwangu" au "kusema vitu viovu ingekuwa ni chukizo kwangu"
# uovu
inamaanisha maneno maovu