# wakati midomo yangu inapofunguka Midomo inamaanisha kinywa cha mtu anayeongea " wakati nipofumbua mdomo wangu kuongea" # adili "sawa" au "haki" # kinywa changu hunena " mimi ninasema" # kilicho cha kweli "kile ambacho watu wanapaswa kuamini" # uovu ni chukizo katika midomo yangu "uovu ni chukizo kwangu" au "kusema vitu viovu ingekuwa ni chukizo kwangu" # uovu inamaanisha maneno maovu