sw_tn/pro/06/34.md

32 lines
453 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# hasira
"udhika sana"
# hataonesha huruma
mtu ambaye mke wake amezini na mwanaume wingine " atakuumiza kadri anavyoweza"
# wakati wa kulipiza kisasi
"kipindi analipza kisasi"
# kulipiza kisasi
ni mtu kusababisha maumivu kwa mtu mwingine ambaye alitangulia kumwumiza hapo mwazo
# fidia
"malipo"
# hataweza kununuliwa
"hutaweza kumlipa pesa za kutosha kuibadili akili yake"
# ingawa
"hata kama"
# utampa
"kutoa kitu" au "kuadidi kutoa"