# hasira "udhika sana" # hataonesha huruma mtu ambaye mke wake amezini na mwanaume wingine " atakuumiza kadri anavyoweza" # wakati wa kulipiza kisasi "kipindi analipza kisasi" # kulipiza kisasi ni mtu kusababisha maumivu kwa mtu mwingine ambaye alitangulia kumwumiza hapo mwazo # fidia "malipo" # hataweza kununuliwa "hutaweza kumlipa pesa za kutosha kuibadili akili yake" # ingawa "hata kama" # utampa "kutoa kitu" au "kuadidi kutoa"