sw_tn/pro/06/06.md

24 lines
638 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mtazame...zitafakari
"jifunze ...fikiri juu yake" au "cunguza kwa umakini... tafakari"
# chungu
ni mdudu mdogo ambaye huishi ardhini au kichuguu anachojenga mwenyewe. Huishi katika makundi ya maelfu, na wanaweza kunyanyua viti vikubwa kuliko wenyewe.
# zitafakari njia zake
"tafakari jinsi chungu anavyotenda"
# kamanda, ofisa, au mtawala
Haya ni maneno yenye maana moja kusisitiza kuwa hakuna mtu mwenye mamlaka rasmi juu ya chungu .
# huandaa chakula chake wakati wa jua... wakati wa mavuno huhifadhi chkula chake
Hapa inaonesha ni jinsi gani chungu huwajibika
# wakati wa jua
ni majira ambapo baadhi ya miti huzaa matunda