# Mtazame...zitafakari "jifunze ...fikiri juu yake" au "cunguza kwa umakini... tafakari" # chungu ni mdudu mdogo ambaye huishi ardhini au kichuguu anachojenga mwenyewe. Huishi katika makundi ya maelfu, na wanaweza kunyanyua viti vikubwa kuliko wenyewe. # zitafakari njia zake "tafakari jinsi chungu anavyotenda" # kamanda, ofisa, au mtawala Haya ni maneno yenye maana moja kusisitiza kuwa hakuna mtu mwenye mamlaka rasmi juu ya chungu . # huandaa chakula chake wakati wa jua... wakati wa mavuno huhifadhi chkula chake Hapa inaonesha ni jinsi gani chungu huwajibika # wakati wa jua ni majira ambapo baadhi ya miti huzaa matunda