sw_tn/pro/05/20.md

16 lines
414 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mwanangu, kwa nini wewe, uwe mateka wa malaya; kwa nini kuyakumbatia maziwa ya mwanamke asiye mwadilifu?
"Mwanangu, usitekwe na malaya!Usikumbatie maziwa mwanamke asiye mwadilifu!"
# uwe mateka wa malaya
"kuruhusu malaya kukuteka wewe"
# huona kila jambo... huzitazama njia zote
Mungu anafahamu kila jambo analolifanya kila mtu
# njia zote anazochukia
"kila sehemu anapokwenda" au "kila kitu anachofanya"