# Mwanangu, kwa nini wewe, uwe mateka wa malaya; kwa nini kuyakumbatia maziwa ya mwanamke asiye mwadilifu? "Mwanangu, usitekwe na malaya!Usikumbatie maziwa mwanamke asiye mwadilifu!" # uwe mateka wa malaya "kuruhusu malaya kukuteka wewe" # huona kila jambo... huzitazama njia zote Mungu anafahamu kila jambo analolifanya kila mtu # njia zote anazochukia "kila sehemu anapokwenda" au "kila kitu anachofanya"