sw_tn/pro/05/05.md

16 lines
497 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# miguu yake huelekea chini kwenye mauti
"miguu yake" hapa anaongelewa mtu malaya. "Anatembea katika njia ambayo inaeleke kwenye mauti" au "mwenendo wake huelekea kwenye mauti"
# hatua zake huelekea kwenye njia ya kuzimu
"hutembea katika njia ya kuzimu"au " tabia yake humpeleka kwenye njia ya kuzimu"
# yeye haifikirii njia ya uzima
"hajali kuhusu mwenendo wa kumwongoza katika uzima"
# hatua za mguu wake hutanga tanga
"hutembea katika njia ovu" au "hutanga tanga kana kwamba amepotea"