# miguu yake huelekea chini kwenye mauti "miguu yake" hapa anaongelewa mtu malaya. "Anatembea katika njia ambayo inaeleke kwenye mauti" au "mwenendo wake huelekea kwenye mauti" # hatua zake huelekea kwenye njia ya kuzimu "hutembea katika njia ya kuzimu"au " tabia yake humpeleka kwenye njia ya kuzimu" # yeye haifikirii njia ya uzima "hajali kuhusu mwenendo wa kumwongoza katika uzima" # hatua za mguu wake hutanga tanga "hutembea katika njia ovu" au "hutanga tanga kana kwamba amepotea"