sw_tn/pro/04/22.md

24 lines
517 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# maneno yangu ni uzima
"maneno yangu yanaleta uzima"
# kwa wale wanaozipata
"kwa wale wanaozifahamu na kuzitenda"
# afya katika mwili wao wote
"maneno yangu yataleta afya katika mwili wote kwa wale wanaoyapata"
# utunze moyo wako salama na kuulinda
"tunza akili yako salama na kuyalinda mawazo yako"
# kwa bidii yote
"kwa uthabiti na nguvu"
# kutoka kwenye moyo wako hububujika chemchemi za uzima
"kila kitu unachosema huja kutoka katika mawazo yako" au "mawazo yako hubainisha mwenendo wa maisha yako"