# maneno yangu ni uzima "maneno yangu yanaleta uzima" # kwa wale wanaozipata "kwa wale wanaozifahamu na kuzitenda" # afya katika mwili wao wote "maneno yangu yataleta afya katika mwili wote kwa wale wanaoyapata" # utunze moyo wako salama na kuulinda "tunza akili yako salama na kuyalinda mawazo yako" # kwa bidii yote "kwa uthabiti na nguvu" # kutoka kwenye moyo wako hububujika chemchemi za uzima "kila kitu unachosema huja kutoka katika mawazo yako" au "mawazo yako hubainisha mwenendo wa maisha yako"