sw_tn/pro/04/16.md

16 lines
332 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# hawezi kulala hadi watende ubaya
watu waovu hutamani kutenda matendo mabaya
# wameporwa usingizi wao
"hawawezi kulala"
# hadi wamwangushe mtu
"mpaka wadhuru mtu"
# wanakula mkate wa uovu na kunywa mvinyo wa vurugu
"wanakula mkate ambao wanaupata kwa kutenda mambo maovu na kunywa mvinyo ambao wanaupata kwa njia ya vurugu"