# hawezi kulala hadi watende ubaya watu waovu hutamani kutenda matendo mabaya # wameporwa usingizi wao "hawawezi kulala" # hadi wamwangushe mtu "mpaka wadhuru mtu" # wanakula mkate wa uovu na kunywa mvinyo wa vurugu "wanakula mkate ambao wanaupata kwa kutenda mambo maovu na kunywa mvinyo ambao wanaupata kwa njia ya vurugu"