sw_tn/pro/04/13.md

16 lines
349 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# shika maagizo, usiyaache yaondoke
"endelea kutii yale niyokufundisha na usiyasahau"
# maana ni uzima wako
"maana yatautunza uzima wako"
# usiifuate njia ya waovu na usienende kwenye njia ya wale watendao maovu
"usifanye yale wanayofanya watu waovu na usijiunge katika matendo ya watu watendao ubaya"
# Jiepushe nayo
"iepuke njia ya waovu"