# shika maagizo, usiyaache yaondoke "endelea kutii yale niyokufundisha na usiyasahau" # maana ni uzima wako "maana yatautunza uzima wako" # usiifuate njia ya waovu na usienende kwenye njia ya wale watendao maovu "usifanye yale wanayofanya watu waovu na usijiunge katika matendo ya watu watendao ubaya" # Jiepushe nayo "iepuke njia ya waovu"