sw_tn/pro/04/10.md

16 lines
427 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# na uyasikilize maneno yangu
"sikiliza kwa kuzingatia ninachokufundisha"
# utakuwa na miaka mingi ya maisha yako
"utaishi miaka mingi"
# Nianakulekeza katika njia ya hekima; Mimi ninakuongoza kwenye njia nyoofu
"niakufundisha jinsi ya kuishi kwa busara; ninafafanua njia njema ya kuishi"
# unapotembea, hapana mtu atakayesimama katika njia yako na kama ukikimbia, hutajikwaa
"unapopanga kitu, utafanikiwa kukitekeleza"