# na uyasikilize maneno yangu "sikiliza kwa kuzingatia ninachokufundisha" # utakuwa na miaka mingi ya maisha yako "utaishi miaka mingi" # Nianakulekeza katika njia ya hekima; Mimi ninakuongoza kwenye njia nyoofu "niakufundisha jinsi ya kuishi kwa busara; ninafafanua njia njema ya kuishi" # unapotembea, hapana mtu atakayesimama katika njia yako na kama ukikimbia, hutajikwaa "unapopanga kitu, utafanikiwa kukitekeleza"