sw_tn/pro/03/03.md

16 lines
392 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# usiruhu agano la uadilifu na uaminifu viondoke kwako
Hakikisha unatekeleza agano la uadilifu na uaminifu daima.
# uyafunge pamoja kwenye shingo yako
uoneshe kwa furaha kama mtu ambovyo huvaa mikufu shingoni
# yaandika kwenye kibao cha moyo wako
daima uyakumbuke kana kwamba umeyaandika kwenye kibao cha kudumu
# katika upeo wa Mungu na wanadamu
katika hukumu ya Mungu na wanadamu