# usiruhu agano la uadilifu na uaminifu viondoke kwako Hakikisha unatekeleza agano la uadilifu na uaminifu daima. # uyafunge pamoja kwenye shingo yako uoneshe kwa furaha kama mtu ambovyo huvaa mikufu shingoni # yaandika kwenye kibao cha moyo wako daima uyakumbuke kana kwamba umeyaandika kwenye kibao cha kudumu # katika upeo wa Mungu na wanadamu katika hukumu ya Mungu na wanadamu