sw_tn/pro/02/16.md

16 lines
342 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Baba anaendelea kumfundisha mtoto wake jinsi ambavyo hekima itamlinda.
# Hekima na busara vitakuokoa
"kama utakuwa na hekima na busara, utajiokoa wewe mwenyewe"
# mwenza wa ujana wake
mume wake, ambaye aliyemwoa tangu ujanani
# agano la Mungu wake
agano la ndoa ambalo amelifanya na mume wake katika uwepo wa Mungu.