# Maelezo ya Jumla Baba anaendelea kumfundisha mtoto wake jinsi ambavyo hekima itamlinda. # Hekima na busara vitakuokoa "kama utakuwa na hekima na busara, utajiokoa wewe mwenyewe" # mwenza wa ujana wake mume wake, ambaye aliyemwoa tangu ujanani # agano la Mungu wake agano la ndoa ambalo amelifanya na mume wake katika uwepo wa Mungu.