sw_tn/pro/02/14.md

16 lines
296 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hufurahia
hawa ni watu waliotajwa katika 2:11
# hufurahia katika upotevu wa uovu
wanafurahi kutenda mambo ambayo wanajua ni maovu
# Hufuata njia za udanganyifu
huwadanganya watu wengine
# na hutumia udanganyifu huficha mapito yao
na hudanganga ili mtu yeyote isifahamu jambo walilofanya