# Hufurahia hawa ni watu waliotajwa katika 2:11 # hufurahia katika upotevu wa uovu wanafurahi kutenda mambo ambayo wanajua ni maovu # Hufuata njia za udanganyifu huwadanganya watu wengine # na hutumia udanganyifu huficha mapito yao na hudanganga ili mtu yeyote isifahamu jambo walilofanya