sw_tn/pro/02/03.md

24 lines
721 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kama utalia kwa ajili ya ufahamu na kupaza sauti yako kwa ajili yake
'Kama utaweka umuhimu kumwomba Mungu na kumsihi kwa ajili ya ufahamu"
# Kama utalia ... kama ukitafuta
Hizi ni kauli zenye amri, zingatia 2:1 na 1:1-2
# paza sauti yako
Hii ni nahau, maana yake kuongea kwa sauti kuu au kupiga kelele.
# kama utautafuta kama ambavyo ungetafuta fedha na kutafuta ufahamu kama ambayo ungetafuta hazini iliyositirika
kufanya bidii ili kujua maana ya busara.
# kama utautafuata... kutafuta ufahamu
Kuwa na jitihada kuijua busara ni kama vile mtu ambavyo hutafuta vitu amabavyo ni vya lazima kwake.
# utapata maarifa ya Mungu
kufanikiwa kumjua Mungu kunapewa picha ya kitu ambacho mtu hupata baada ya kutafuata.