# Kama utalia kwa ajili ya ufahamu na kupaza sauti yako kwa ajili yake 'Kama utaweka umuhimu kumwomba Mungu na kumsihi kwa ajili ya ufahamu" # Kama utalia ... kama ukitafuta Hizi ni kauli zenye amri, zingatia 2:1 na 1:1-2 # paza sauti yako Hii ni nahau, maana yake kuongea kwa sauti kuu au kupiga kelele. # kama utautafuta kama ambavyo ungetafuta fedha na kutafuta ufahamu kama ambayo ungetafuta hazini iliyositirika kufanya bidii ili kujua maana ya busara. # kama utautafuata... kutafuta ufahamu Kuwa na jitihada kuijua busara ni kama vile mtu ambavyo hutafuta vitu amabavyo ni vya lazima kwake. # utapata maarifa ya Mungu kufanikiwa kumjua Mungu kunapewa picha ya kitu ambacho mtu hupata baada ya kutafuata.