sw_tn/pro/01/31.md

28 lines
517 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
mstari wa 33 unahitimisha kauli ya hekima ambayo ilianzia katika 1:20.
# watakila matunda ya njia zao
"watapata madhara yanayotokana na matendo yao"
# kwa matunda ya njama zao watashibishwa
"watateseka kwa mipango yao miovu"
# wajinga
"bila uzoefu, isiyo kamavu/uchanga"
# hufa wakati wanaporudi nyuma
"hufa kwa kuwa wanakataa kujifunza"
# kutojali kwa wapumbavu kutawaangamiza
" wapumavu watakufa kwa sababu hawajali wanachopaswa kufanya"
# kutojali
kukosa hamu juu ya jambo fulani