# Maelezo ya Jumla mstari wa 33 unahitimisha kauli ya hekima ambayo ilianzia katika 1:20. # watakila matunda ya njia zao "watapata madhara yanayotokana na matendo yao" # kwa matunda ya njama zao watashibishwa "watateseka kwa mipango yao miovu" # wajinga "bila uzoefu, isiyo kamavu/uchanga" # hufa wakati wanaporudi nyuma "hufa kwa kuwa wanakataa kujifunza" # kutojali kwa wapumbavu kutawaangamiza " wapumavu watakufa kwa sababu hawajali wanachopaswa kufanya" # kutojali kukosa hamu juu ya jambo fulani