sw_tn/pro/01/28.md

20 lines
417 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi Unganishi
Hekima anaendelea kuongea
# Kisha wataniita
" Kisha wale ambao hunipuuza watanililia kwa msaada"
# Kwa sababu wamechukia maarifa
Maarifa ni kujifunza."Kwa sababu wamekataa kujifunza ili wawe na busara"
# hawakuchagua hofu ya Yahwe
" hawakumwogopa Yahwe" au "hawakumheshimu na kumtukuza Yahwe"
# Hawakufuata maagizo yangu
"hawakuweza kukubali maagizo yangu" au " walikataa ushauri wangu"