# Sentensi Unganishi Hekima anaendelea kuongea # Kisha wataniita " Kisha wale ambao hunipuuza watanililia kwa msaada" # Kwa sababu wamechukia maarifa Maarifa ni kujifunza."Kwa sababu wamekataa kujifunza ili wawe na busara" # hawakuchagua hofu ya Yahwe " hawakumwogopa Yahwe" au "hawakumheshimu na kumtukuza Yahwe" # Hawakufuata maagizo yangu "hawakuweza kukubali maagizo yangu" au " walikataa ushauri wangu"