sw_tn/php/04/10.md

24 lines
743 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi:
Paulo anazungumzia kuhusu waamini wa Filipi wamekuwa wakimsaidia kifedha na kumalizia na salam na shukran.
# kuridhika
"kutosheka" au "kufurahi"
# katika mazingira yote
"haijalishi mazingira niliyo nayo"
# Nafahamu kuishi katika hali ya kupungukiwa...kuwa na vingi
Paulo anajua jinsi ya kuishi maisha ya furaha aidha akiwa hana au akiwa navyo.
# namna ya kula wakati wa shibe na jinsi ya kula wakati wa njaa, yaani vingi na kuwa mhitaji
Ki-msingi sentensi hizi mbili zinamaanisha kitu kile kile. Paulo huzitumia kusisitiza kuwa amejifunza kurithika katika mazingira ya namna yeyote ile.
# Ninaweza kufanya haya kwa kuwezeshwa na yeye anitiaye nguvu.
"Naweza kufanya mambo yote kwa sababu Kristo hunipa nguvu"