sw_tn/php/04/01.md

48 lines
1.9 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Paulo anaendelea na baadhi ya maelekezo kwa waamini wa Filipi kuhusu umoja na kuwapa maelekezo kuwasaidia kuishi kwa ajili ya Bwana.
# Maelezo ya Jumla
Wakati Paulo anaposema, "watenda kazi wa kweli pamoja," "neno wewe ni umoja. Paulo hasemi jina la mtu. Anamuita hivyo kuonyesha amefanya kazi na Paulo kueneza injili.
# Kwa hiyo wapendwa wangu ambao nawatamani
"Waumini wenzangu, nawapenda na ninatamani sana kuwaona"
# ndugu
hapa anamaanisha Wakrsto wenza, ikijumuisha wanaume na wanawake, kwa kuwa waumini wote katika Kristo ni washiriki wa familia moja ya kiroho, ambayo Mungu ni baba wa mbinguni.
# Furaha na taji yangu
Paulo anatumia neno "Furaha"akimaanisha kuwa kanisa la Filipi nicho kisababishi cha furaha yake. Taji ilitengenezwa kwa majani na mtu aliivaa kichwani kwake kama ishara ya heshima baada ya ushindi alioupata kwenye mchezo. Neno "taji" linamanisha kuwa kanisa la Filipi lilimletea Paulo heshima kwa Mungu. AT:" Mnanipa furaha kwa sababu mmemwamini Yesu, na ninyi ni zawadi na taji
# Kwa njia hii simameni imara katika Bwana, enyi rafiki wapendwa
"Kwa hiyo endeleeni kuishi kwa Bwwana katika namna ambayo nimewafundisha, enyi marafiki wapendwa"
# Ninamsihi Audia, na ninamsihi Sintike
Hawa ni wanawake waumini waliomsaidia Paulo katika kanias la Filipi. Ninamsihi Audia, na ninamsihi Sintike
# Muwe na nia ileile katika Bwana
"Sentensi hii ya "muwe na nia ileile" inamaanisha kuwa na tabia au mawazo yaleyale. "kukubaliana ninyi kwa ninyi kwa kuwa nyote mnamwamini Bwana yuleyule
# pamoja nanyi pia
Hapa "wewe" inarejea kwa "mtenda kazi mpendwa" and kama umoja
# mtenda kazi
hiki kifungu cha maneno kinatokana na kilimo, ambapo wanyama wawi wangweza kuunganishwa kwenye kongwa/ yoki. "mtenda kazi"
# Pamoja na Kelement
Kelement alikuwa Muumin na mtenda kazi katika kanisa laFilipi
# Ambao majina yao yamenandikwa kwenye kiabu cha uzima
"Ambao majina yao Mungu ameyaandika kwenye kitabu cha uzima"