sw_tn/php/03/20.md

20 lines
518 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya jumla:
Kwa matumizi ya Paulo ya "yetu" hapa, amejijumuisha yeye na waamini katika Filipi
# Uraia wetu uko mbinguniau
"mji wa nyumbani kwetu ni mbinguni"au nyumbani kwetu halisi ni mbinguni.
# Atabadilisha miili yetu
"atabadilisha miili hii minyonge,miili ya asili au tuliyonayo hapa duniani"
# kuwa kama mwili wake wa utukufu
"katika miili ifananayo na mwili wake wa utukufu"
# mwili, unaowezesha kuvidhibiti vitu vyote kweke
"atabadilisha miili yetu kwa ileile anayotumia kuvitawala vitu vyote"