# Maelezo ya jumla: Kwa matumizi ya Paulo ya "yetu" hapa, amejijumuisha yeye na waamini katika Filipi # Uraia wetu uko mbinguniau "mji wa nyumbani kwetu ni mbinguni"au nyumbani kwetu halisi ni mbinguni. # Atabadilisha miili yetu "atabadilisha miili hii minyonge,miili ya asili au tuliyonayo hapa duniani" # kuwa kama mwili wake wa utukufu "katika miili ifananayo na mwili wake wa utukufu" # mwili, unaowezesha kuvidhibiti vitu vyote kweke "atabadilisha miili yetu kwa ileile anayotumia kuvitawala vitu vyote"