sw_tn/php/03/15.md

16 lines
517 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sisi tulioukulia wokovu, tunapaswa kuwaza namna hii.
Paulo alitaka wakristo wenzake wawe na hamu ile ile kama yeye alivyo. Kuwa imara katika imani Kufikiri katika jambo moja.
# Mungu pia atalifunua hilo kwenu
"Mungu pia atalifanya wazi kwako" au "Mungu atakuhakikishia unalijua"
# Mungu atakifunua hilo kwenu
Mungu ataweza wazi hilo jambo au kitu hicho kwako/kwenu
# Kwa vyovyote tulivyokwisha kuwa , na tuenende katika hali hiyo
Na tuendelee kuutii ukweli wa neno la Mungu ule ambao tumekwisha pata tayari.