sw_tn/php/01/25.md

24 lines
700 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kwa kuwa nina uhakika juu ya hili
"Kwa kuwa ninauhakika kwamba ni vizuri kwako kwamba ninaenedelea kuishi"
# ninajua nitabaki
" Ninajua kuwa nitaendelea kuishi or ninajua kwamba nitabaki katika mwili, yaani sitakufa"
# Ili kwamba kwa mimi
"Hivyo basi kwa sababu ya mimi" au "Kwa hiyo basi kwa sababu ya kile nifanyacho"
# kwamba mmesimama imara katika roho mmoja...mkishindania imani ya injili kwa pamoja.
Haya mambo mawili vinashirikiana maana moja kusisitiza umuhimu wa umoja.
# kushindana pamoja
"kufanya kazi kwa bidii pamoja"
# imani ya injili
ina maana ya "kueneza imani ambayo imejengwa juu ya injili ya Kristo" au "kuamini na kuishi kulingana na habari njema inavyotufundisha"