# Kwa kuwa nina uhakika juu ya hili "Kwa kuwa ninauhakika kwamba ni vizuri kwako kwamba ninaenedelea kuishi" # ninajua nitabaki " Ninajua kuwa nitaendelea kuishi or ninajua kwamba nitabaki katika mwili, yaani sitakufa" # Ili kwamba kwa mimi "Hivyo basi kwa sababu ya mimi" au "Kwa hiyo basi kwa sababu ya kile nifanyacho" # kwamba mmesimama imara katika roho mmoja...mkishindania imani ya injili kwa pamoja. Haya mambo mawili vinashirikiana maana moja kusisitiza umuhimu wa umoja. # kushindana pamoja "kufanya kazi kwa bidii pamoja" # imani ya injili ina maana ya "kueneza imani ambayo imejengwa juu ya injili ya Kristo" au "kuamini na kuishi kulingana na habari njema inavyotufundisha"