sw_tn/num/23/23.md

12 lines
333 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hakuna uganga utakaofanyika dhidi ya Yakobo ... hakuna uchawiutakaomwumiza Israeli
Virai hivi vinamaanisha kitu kilekile kwamba; hakuna laana ambayo mtu yeyote ataifanya katika taifa la Israaeli itakayofanikiwa.
# Itasemwa
"watu watasema"
# Tazama kile ambacho Mungu amefanya
"Yatazame mambo mazuri ambayo Mungu amewafanyia!"