# Hakuna uganga utakaofanyika dhidi ya Yakobo ... hakuna uchawiutakaomwumiza Israeli Virai hivi vinamaanisha kitu kilekile kwamba; hakuna laana ambayo mtu yeyote ataifanya katika taifa la Israaeli itakayofanikiwa. # Itasemwa "watu watasema" # Tazama kile ambacho Mungu amefanya "Yatazame mambo mazuri ambayo Mungu amewafanyia!"