sw_tn/num/22/31.md

24 lines
469 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Basi BWANA akafungua macho ya Balaamu, na akamwona malaika wa BWANA
"Kisha BWANA akampa Baalamu uwezo wa kumwonamalaika wa BWANA"
# akiwa na upanga mkononi mwake
Tazama 22:21
# Balaamu akainamisha kichwa chake chini
Balaamu akajinyenyekeza
# Kwa nini umempiga punda wako mara tatu
"usingempiga punda wako mara tatu
# kama adui yako
"ili kukupinga"
# Kama asingekuwa amegeuka kutoka kwangu... ningekuwa nimekuua na yeye kumwacha hai
punda alimwokoa Balaamu