# Basi BWANA akafungua macho ya Balaamu, na akamwona malaika wa BWANA "Kisha BWANA akampa Baalamu uwezo wa kumwonamalaika wa BWANA" # akiwa na upanga mkononi mwake Tazama 22:21 # Balaamu akainamisha kichwa chake chini Balaamu akajinyenyekeza # Kwa nini umempiga punda wako mara tatu "usingempiga punda wako mara tatu # kama adui yako "ili kukupinga" # Kama asingekuwa amegeuka kutoka kwangu... ningekuwa nimekuua na yeye kumwacha hai punda alimwokoa Balaamu