sw_tn/num/20/17.md

12 lines
323 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi unganishi
Wale watumishi wanaendelea kuongea na mfalme wa Edomu
# Hatutageuka upande wa kulia wala wa kushoto
Neno "kugeuka" linamaanisha kuiacha barabara, "Hatutaiacha barabara kwa uelekeo wowote"
# nia kuu ya mfalme
Hii ni barabara kuu inayounganisha mpaka Dameski hadi Kaskazini kwenye ghuba ya Akabahi.