# Sentensi unganishi Wale watumishi wanaendelea kuongea na mfalme wa Edomu # Hatutageuka upande wa kulia wala wa kushoto Neno "kugeuka" linamaanisha kuiacha barabara, "Hatutaiacha barabara kwa uelekeo wowote" # nia kuu ya mfalme Hii ni barabara kuu inayounganisha mpaka Dameski hadi Kaskazini kwenye ghuba ya Akabahi.