sw_tn/num/19/11.md

32 lines
716 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
wazo la "usafi" na "Utakatifu" linamaanisha kukubalika kwa Mungu
# Taarifa kwa ujummla
wazo la "unajisi" na "uchafu," "kutokuwa msafi"linamaanisha kutokukubalika kwa Mungu.
# maiti
"mwiliya mtu aliyekufa"
# lakini kama hajajitakasa
"aomba mtu wa kumtakasa"
# lakini kama hajajitasa mwenyewe katika siku ya tatu, basi hatakuwa safi katika siku ya saba
"atakuwa safi siku ya saba tu iwapo kama atajitakasa siku ya tatu"
# mtu huyo ataondolewa
tazama 9:13
# maji ya farakano yalikuwa hayajanyunyiziwa kwake
"hakuna alimnyunyizia maji ya farakano"
# Atabaki najisi; na unajisi wake utabaki kwake
Virai hivi viwili vinamaanisha kitu kilekile. Vimetumika kwa pamoja kuonesha msisitizo