# Taarifa kwa ujumla wazo la "usafi" na "Utakatifu" linamaanisha kukubalika kwa Mungu # Taarifa kwa ujummla wazo la "unajisi" na "uchafu," "kutokuwa msafi"linamaanisha kutokukubalika kwa Mungu. # maiti "mwiliya mtu aliyekufa" # lakini kama hajajitakasa "aomba mtu wa kumtakasa" # lakini kama hajajitasa mwenyewe katika siku ya tatu, basi hatakuwa safi katika siku ya saba "atakuwa safi siku ya saba tu iwapo kama atajitakasa siku ya tatu" # mtu huyo ataondolewa tazama 9:13 # maji ya farakano yalikuwa hayajanyunyiziwa kwake "hakuna alimnyunyizia maji ya farakano" # Atabaki najisi; na unajisi wake utabaki kwake Virai hivi viwili vinamaanisha kitu kilekile. Vimetumika kwa pamoja kuonesha msisitizo