sw_tn/nam/01/12.md

20 lines
482 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maeleza ya jumla
Yahwe anazungumza kwa Waisraeli juu ya Ninawi.
# Wananguvu ... watanyolewa... zao
watu wa Ninawi
# hata hivyo watanyolewa
"Watakatwa." Yahwe anatumia picha ya kukata sufu kwenye kondoo kuonyesha njinsi atakavyo liharibu jeshi la Ninawi , hata kama wapo wengi.TN: " wataharibiwa "
# nitaivunja ile nira ya watu kutoka kwako
TN: "nitakuweka huru kutoka ktika utumwa mwa watu hao"
# nitaikata minyororo yako
"kata minyororo ambayo waliwafunga kama watumwa"